Wednesday, April 13, 2011

HRITHIK ROSHAN


Ni bonge moja la staring linalopatikana ndani ya kiwanda cha filamu nchini India. taarifa zilizopatikana juzi kati zinasema,jamaa kanunua gym ya ukweli ili awekE body lake liwe la kutisha kutokana na bonge la movie analotaka kulidondosha hivi karibuni....halitakuwa la malavi davi tena bali ni action....dah!!!!tusubi tuione AGNEPAPATH.

No comments:

Post a Comment